Wizara ya maswala ya kigeni yaanza maonyesho kuhusu ajira katika mataifa ya nje

  • | Citizen TV
    426 views

    Wizara ya maswala ya kigeni imeanza maonyesho kuhusu ajira katika mataifa ya nje kwa lengo kuwezesha vijana kupata mafunzo kuhusu nafasi za kazi nje ya nchi