Wanawake kutoka Lodokilani, kajiado wapokea mbuzi zaidi ya100 wa maziwa kutoka kwa Action Aid

  • | Citizen TV
    260 views

    Wanawake kutoka lodokilani, kajiado magharibi wamepokea mbuzi zaidi ya100 Wa maziwa kutoka kwa shirika la action aid ili kuwawezesha kujikimu kimaisha. wanawake hao ambao sasa wamejipata katika hali ngumu walipata hasara kubwa baada ya mifugo yao kuangamia wakati wa kiangazi mwaka jana. Nancy Kering anaarifu