Miili ya waliofariki katika ajali ya ndege yawasili Nairobi
Jenerali Francis Omondi Ogolla alifariki katika ajali ya helikopta ya jeshi siku ya Alhamisi, muda mfupi baada ya kupaa, kaskazini magharibi mwa Kenya.
Ogolla alikuwa ametoka kuwatembelea wanajeshi wanaopambana na uhalifu unaotokana na wizi wa mifugo katika eneo hilo.
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza siku tatu za kuomboleza kifo cha mkuu huyo na maafisa wengine wa jeshi waliofariki katika ajali hiyo.
Mshauri wa Usalama wa Taifa Marekani Jake Sullivan, ametuma salamu za rambi rambi kwa rais Ruto, jeshi la Kenya na Wakenya kwa jumla kufuatia kifo cha Jenerali Ogolla na wanajeshi wengine.
Sullivan amesema kwamba Ogolla alikuwa mtu muhimu sana katika uhusiano kati ya Marekani na Kenya katika kuhakikisha usalama wa kila mtu.
Taarifa ya White House imesema kwamba Ogolla amesaidia sana katika vita dhidi ya ugaidi hasa kutoka kwa kundi la Al-shabaab la Somalia na kuongoza juhudi za kuimarisha usalama wa kanda nzima, na kuongezea kwamba Marekani imefurahishwa na ushirikiano kutoka kwa Jenerali Ogolla aliyepata mafunzo ya urubani nchini Marekani.
Jenerali Ogolla atazikwa Jumapili, April 21, nyumbani kwake, Ng’iya, Kaunti ya Siaya.
#jenerali #FrancisOmondiOgolla #kifo #ajali #rais #kenya #williamruto #usalamawataifa #JakeSullivan #rambirambi #marekani #miili #maombolezo
4 May 2024
- The changes were adopted during a meeting chaired by Ruto at State House.
3 May 2024
- Education CS Ezekiel Machogu has cleared up the confusion over students already in school and issued a timeline for assessing schools.
3 May 2024
- Education CS Ezekiel Machogu has cleared up the confusion over students already in school and issued a timeline for assessing schools.
4 May 2024
- Indian cartoonist Rachita Taneja and Hong Kong's Zunzi were awarded the biennial Kofi Annan Courage in Cartooning Award on Friday, which is International Press Freedom Day.
4 May 2024
- Hope Hicks, a former top aide to Donald Trump, testified on Friday that staffers on his 2016 presidential campaign were alarmed when they learned that a tape in which he made lewd comments about women was about to be made public.
4 May 2024
- Assimilation of the corps into the mainstream military did away with restrictions imposed on women.
4 May 2024
- The 11-member select committee is expected to begin its work next Tuesday.
4 May 2024
- Survey shows the young workers want freedom to work from home or office.
4 May 2024
- The changes were adopted during a meeting chaired by Ruto at State House.
4 May 2024
- Nursing mothers at Kahawa Wendani Primary School face shortage of essential supplies like diapers, sanitary pads, and nutritious food.
4 May 2024
- The authority says the cyclone is expected to persist until May 6, 2024, and weaken thereafter.
4 May 2024
- It’s just a really great tune, TikTokkers say.
4 May 2024
- President Ruto is expected to travel to the US this month, which could catalyse the process.