Makorongo makubwa: Janga la kimataifa linaloangamiza miji
Mmomonyoko wa udongo ni aina ya uharibifu wa udongo unaosababishwa na maji, ambao wataalam wameiambia BBC unakua kwa kasi ya kutisha.
Inaweza kusababisha makorongo makubwa bila tahadhari yeyote- na wakati mwingine husababisha madhara mabaya.
Miji ya Amerika Kusini hadi Afrika imeharibiwa na jamii kuathirika.
Wanasayansi wanasema ingawa mmomonyoko wa udongo ni mchakato wa asili ambao hutokea baada ya muda, kwa sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la makorongo haya.
Kasi hii inatokana na shughuli zinazofanywa na binadamu: ukataji miti, miundombinu duni katika miji na hali mbaya ya hewa kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa.
#bbcswahili #mabadilikotabianchi #haliyahewa
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
3 May 2024
- Education CS Ezekiel Machogu has cleared up the confusion over students already in school and issued a timeline for assessing schools.
3 May 2024
- Education CS Ezekiel Machogu has cleared up the confusion over students already in school and issued a timeline for assessing schools.
3 May 2024
- In this newsletter, we explain the snarl-up that was experienced at the JKIA entrance on Thursday.
4 May 2024
- The authority says the cyclone is expected to persist until May 6, 2024, and weaken thereafter.
4 May 2024
- President Ruto is expected to travel to the US this month, which could catalyse the process.
4 May 2024
- Question is whether it can last
4 May 2024
- Says preservation has been a burden to Kilifi County and nuisance to Malindi hospital.
4 May 2024
- Senators want them probed, punished for professional misconduct.
4 May 2024
- Transcript of the electronic voting reveals that at least 6 members rejected the motion.
4 May 2024
- The woman claims husband has not even paid dowry.
4 May 2024
- President, DP, Musalia gain as departments lose out in spending plan for next fiscal year.
4 May 2024
- UDA National Executive Committee deletes provision for three deputy leaders.
4 May 2024
- The tree was a major tourist attraction.