Maendeleo ya wanawake yapongeza rais Ruto kwa kumtea kamanda wa kwanza wa mwanamke

  • | Citizen TV
    354 views

    Chama cha maendeleo ya wanawake kimempongeza rais William Ruto kwa kumtea kamanda wa kwanza wa mwanamke wakisema hatua hiyo inadhihirisha kuwa taifa linaendelea kupiga hatua za kuhakikisha wanawake humu nchini wanapata nafasi za juu nchini. Mwenyekiti wa muungano huo Rehab Muhiu aidha amewataka wanaopata nyadhifa hizo kuzitumia kuboresha maisha ya wakenya. Rais William Ruto alimteua meja jenerali Fatma Gaiti kuwa kamanda wa jeshi la wanahewa.