Kamishna wa Trans Nzoia awaonya polisi wanaoshirikiana na wagemaji na wauzaji wa pombe haramu

  • | Citizen TV
    508 views

    Kamishina wa kaunti ya Trans Nzoia Gideon Oyagi ametoa onyo kali kwa maafisa wa usalama wanaoshirikiana na wagemaji na wauzaji wa pombe haramu, akisema hatua hiyo inaathiri juhudi za serikali kumaliza biashara hizo...